Pata mautamu mbali mbali kupitia blog hii ya Mautamu Nyang'anyang'aaa ya TZ & nje za Nchi
Sunday, 27 April 2014
EVIL SEX SEHEMU YA NANE(8)
EVIL SEX SEHEMU YA NANE(8)
Eddy akazidi kumpagawisha Dareen na michezo ya hapa na pale,wakaanza mechi iliyochukua takribani lisaa zima
Jimy akafumbu macho yaliyojaa ukungu na kuona Eddy akimalizia kuvaa shati,kwa woga akarudisha kichwa chini na kulala
***
Janet na Maria wakajikuta wakichelewa kuamka kila mmoja akiwa na uchovu mwingi kutokana na hali iliyowapata jana usiku
"Janet utakwenda class?"
"Mmmm sijisikii vizuri"
Kila mmoja akageukia upande wake na kuendelea kuuchapa usingizi
***
Vyombo vya habari nchini vikaanza kutangaza mabadiliko yaliyo tokea katika chuo kikuu
Wanafunzi wengi wametawaliwa na hali ambayo duniani haijawahi kutokea
***
"Samahani kaka"
Msichana mmoja alimsimamisha Eddy ambaye anaonekana kuwa na haraka
"Bila samahani"
"Naweza kuzungumza na wewe?"
"Kwa sasa?"
"Yaa kama huto jali"
"Kwa sasa naelekea libray labda nikuachi namba yangu ya simu ili mida mida unicheki"
Eddy akaandika namba ya simu kwenye simu ya yule msichana kisa wakaachana na kila mmoja akielekea sehemu yake.
Eddy akajikuta akitawaliwa na mawazo ambayo hakujua yametokea wapi,
Akastushwa akishikwa begani na kugeuka na kukutana na Dareen akiwa na wezake wawili ambao Eddy aliwaona siku ya kwanza wakiwa wanashuka kwenye gari
"Baby na wewe mbona unastuka hivyo?"
"Ahaa nilikuwa na mawazo ila kidogo mamy"
Wakakaa kwenye viti vilivyo vitupu huku Dareen akiwa karibu na Eddy
"Baby unawatambua hawa?"
"No siwajui"
"Huyu anaitwa Layte na huyo apa anaitwa Witye"
Eddy akawapa mikono Lyte na Witye huku wakionyesha kufurahishwa kwa kumjua Eddy
"Jamani huyu ni Eddy ni mpenzi wangu ambaye nina waadisia yaani huwa ananifanya muda mwengine nasahau hata lengo tulilo jia"
Wakacheka kwa pamoja.
"Anaonekana ni mtamu ehee"
Lyte alizungumza na wakaendelea kucheka kwa furaha
"Ila jamani huyu muheshimuni kama shemeji yenu sitaki mumsumbue"
"Dareen unawivu wewe mmmm"
Wakajikuta wakikaa kimya na kumtizama msichana anayekuja na kumfwata Eddy
"Habari zenu"
Janet aliwasalimia ila hakuna aliye itikia zaidi ya kumtazama
"Samahani Eddy nakuomba mara moja"
Eddy akamtazama Janet kwa macho ya dharau kisha akanyanyuka na wakasogea pembeni kuzungumza naye
"Eddy mpenzi wangu hivi ni kitu gani nilichokufanyia?"
"Janet hicho ndicho ulicho niitia?"
"Eddy unajua fika kuwa ninakupenda sasa hivi sikuelewi kabisa"
Janet akastuka akiguswa bega kwa nyuma kugeuka akakutana na Dareen akimtazama kwa macho makali
ITAENDELE......................
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment