Saturday, 26 April 2014

EVIL SEX SEHEMU YA SITA (6) NI SIMULIZI YA KUSISIMUA HISIA ZAKO SOMA HAPA KWA UNDANI ZAID UBURUDIKE....


                                         EVIL SEX SEHEMU YA SITA (6)

Kivuli kikazidi kuwafwata Janet na Maria sehemu walipo gafla kikapotea na mlango ukafunguka kama awali

Maria akawa wa kwanza kutoka huku akikimbia akielekea kwenye hostel zao,Janet akamkuta Maria akiwa amejifunika shuka tayari huku mwili ukimtetemeka,Hakumasemesha kitu zaidi ya yeye kupanda kitandani na kulala

***

Edd akaanza kuhisi mabadiliko kwenywe mwili wake,Asubuhi ya siku hiyo hakusalimiana na mtu wa aina yoyote hata marafiki zake wakaanza kumuhofia ana tatizo

"Oya Edd unatatizo gani kaka nimekupa hi ukanikaushia au ndio shemeji nini amekuzingua?"

Jimy alimuuliza Eddy ila hakujibu kitu chochote zaidi ya kumtazama tu

"Kaka hapo shingoni niaje au ndio mechi ilikuwa kali adi ukang'atwa nini?"

Jimy akaachia kicheko na kusababisha watu daraasani na kuwageukia na kuuwashangaa

"Eddy kaka kama ni malaya hiyo amekupatia mmmmm mpaka kakufanya bubu aise powa bwana ila pole ngoja mimi naelekea store kucheki jezi si unajua mimi ni team captain"

Jimy aliondoka huku akicheka kicheko cha kinafki.Jimy akaingia store na kuucha mlango wazi na kufungua loka lenye jezii za darasa lake

Gafla mlango wa store rome ukajifunga kwa kujibamiza,akastuka ikamlazimu kuchungulia ni kitu gani chenye nguvu ya kuufunga mlango alio uwekea jiwe kwa chini

Akamkuta Eddy akiwa amesima huku ameuegemea mlango

"Akhaaa Eddy tutauana kwa presha bwana wewe unaona sehemu yenyewe inatisha"

Jimy alizungumza huku akitabasaa,Eddy akamtaza Jimy kwa muda kisha akaanza kumfwata taratibu huku macho yake yakimtirika machozi ya damu

ITAENDELEA....................................

No comments:

Post a Comment