Friday, 21 March 2014

(((((((((( UJUMBE WA LEO 131))))))))))))

Ukijitoa Kumpenda mtu na kumpa kila kitu,halafu huyo mtu akashindwa kujua jinsi gani anapendwa na wewe akakuumiza,hupaswi kujilaumu...Anapaswa yeye kujilaumu kwa kushindwa kusoma alama za nyakati kwamba anapendwa na mtu sahihi na anapewa mapenzi sahihi...Atakuja kujua baadae sana kwamba kuna mtu sahihi aliwahi kumpenda kwa usahihi na yeye hakuwa na macho ya kuliona penzi hilo kwa usahihi...
Usilie wala kujilaumu ukikumbana na watu wa namna hii,tafuta mtu mwingine Mmwagie Huba la kufa mtu,ipo siku utakutana na mtu atakayeona Penzi lako na atalipokea kwa miguu na mikono huku akitabasamu.
NEVER GET TIRED TO FALL IN LOVE,THE RIGHT PERSON IS WAITING FOR YOU SOMEWHERE

[umeipenda ? Bofya "LIKE" , waweza " SHARE" pia kufikisha ujumbe kwa washkaj wote.

CHEKI PAGE YETU MPYA KWA MAMBO YA MAPENZI, STORI, MIKASA, ISHU KIBAO ZA MAPENZI NA MAISHA ZIPO HAPA >>

No comments:

Post a Comment