Friday, 7 March 2014

"Mambo makubwa hufanywa na watu bila ya kujitambua kwenye mapenzi, Je!wajua....??soma hapa zaid"

Mapenzi ni kitu alichopewa binaadamu na mungu wake ili apate matumaini ya kuishi vizuri duniani kila siku!!je wajua???mapenzi hayo hayo humfanya binaadam asiwe na matumaini ya kuishi duniani kila kukicha.


SIRI ZA KUDUMISHA PENZI LAKO LISITETEREKE NI:
1)Penda unapopenda:hii maana yake upende moyo uliporidhia kwa uumpendae.
2)Penda unapopendwa:hii maana yake ukipewa upendo wa dhati kwa mpenzi wako wajibika nawe uumpende zaidi yake.
3)Epuka mchepuko; hii maana yake achana uhusiano na mtu mwingne kuwa na mmoja tu.




No comments:

Post a Comment