Pata mautamu mbali mbali kupitia blog hii ya Mautamu Nyang'anyang'aaa ya TZ & nje za Nchi
Saturday, 22 March 2014
BEST COMEDY YA KISWAHILI
TOP 5 YA VICHEKESHO VYA VUNJA MBAVU HIVI HAPA...SOMA UCHEKE HADI BASII NI NOMAAA.
Hawa Wanyama ni Balaa sana kwa ujanja wao..cheki video hapo chini uone walivyosumbua binadamu...utafurahi mwenyewe
Friday, 21 March 2014
DIAMOND PLATNUMZ APOST UJUMBE MZURI KULIKO YOTE ALIYOWAHI KUPOST MTANDAONI, USOME HAPA
Morning Africa,...SIKU YA LEO UPATAPO NAFASI,HEBU JARIBU KUFANYA MOJA YA HAYA NA UTAKUWA UMEBADILISHA MAISHA YA MTU FLANI.
-Una mlinzi?instead ya kumfokea,Hebu leo kumbuka kumsalimu na kumtakia siku njema huytu mtu anayekesha getini kulinda nyumba yako,bila shaka wengi hawafanyi hili
1: shiriki bure sehemu ya chakula chako na yeyote mwenye njaa na kuhitaji
2: Shiriki nyimbo nzuri kwa mtu mwenye huzuni ama anye feel down
3: Mfundishe mtu ,jambo analotamani kulifaham na halifaham na ni wewe pekee unafahamu
4: Una nguo ama chochote usichokihitaji tena?hapana usikitupe,mpatie yule mwenye kuhitaji
5: Una rafiki ama jamaa mpweke na pengine hana mtu wa karibu wa kushare nae yanayomsibu,make a call am text kwake,mfanye ajiskie hayupo peke yake,kwani kuna siku nawe utakuwa mpweke na utatamani mtu wa kuzungumza nae.
6: Panga ku donate damu,damu yako kidogo inaweza ikaokoa maisha ya mtu sehemu flani..
7: Saidia mzee,ama mtoto kuvuka barabara.
8: Ambia rafiki,family member ama mtumishi ni kiasi gani una mwappreciate
9: Saidia mji wako kuwa msafi,si kazi kubwa kuokota kipande cha uchafu na kuweka sehemu husika
10: Mpigie mzazi wako na kumwambia ni kiasi gani unampenda
11: Motivate mtu flani atimize ndoto zake
12: Jipe amani ya moyo kwa kusamehe
13: la mwisho,jifanyie wewe mwenyewe,Acha kufanya kitu kibaya ulichokuwa unaufanyia mwili wako,pengine uvutaji wa sigara,ulevi wa kupita kiasi etc
....HAIJALISHI NI KIDOGO KIASI GANI UTAKACHOKIFANYA,KUWEKA TABASAMU KWA MTU,NDICHO KINACHO MATTER ...Siku njema

MWONEKANO MPYA WA WEMA SEPETU..MMH KATISHA MBAYAAA..CHEKI HAPA
Huu ndio mwonekano mpya wa bidada maarufu sana hapa town Wema Sepetu... kaja na swaga flani kama za Amber Rose wa USA ambae ndiye maarufu kwa style hii ya mwanamke kupiga kipara..
JE UNADHANI KWA STAILI HII AMEPENDEZA ZAIDI KULIKO SIKU ZA NYUMA ?
KALI "SIFANYI TENA KOSA, NIKIPATA MIMBA NAZAA TU" ASEMA LULU, CHEKI HAPA
STAA wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa kama siku yoyote atapata ujauzito kwa bahati mbaya, hatafanya kosa tena, atazaa tu.
Katika mahojiano maalum na gazeti hili juzikati, Lulu alisema kwa sasa yuko tayari kuolewa ili awe na familia yake ila si kwa sharti la mwanaume husika kumwambia amzalie kisha ndiyo amuoe.
Ijumaa: Kwani kwa sasa si una mpenzi?
Lulu: Ndiyo ila bado sijapanga swala la kufunga naye ndoa.

Ijumaa: Kwa hiyo umesema ukipata mimba kwa bahati mbaya hutofanya misteki lazima uzae, unaweza
kuniambia ni misteki gani?
kuniambia ni misteki gani?
Lulu: Nadhani maswali yako uliyoniuliza nimekujibu kiufasaha kabisa hilo siwezi kulijibu. Ijumaa linahisi kosa ambalo Lulu hatalirudia tena ni la kutoa mimba, kitu ambacho hataki kukizungumzia.
STORI YA KWELI YA AJABU NA KUSISIMUA...SOMA HAPA

kumwandika kuwa mrithi wa mali zake zote pindi mzee atakapoiaga dunia.
Mzee huyu alimiliki biashara kubwa sana sana na zenye kuingiza kipato kikubwa na aliogopeka
sana sana katika eneo hilo hasa kwa kwa utajiri wake na ukatili wake pia.
Siku moja mzee huyo alipata taarifa kuwa mtoto wake wa pekee alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na kijana mmoja ambaye anatoka
katika familia isiyojiweza na tena ya kimaskini sana,na wazai wake walikuwa wakifanya kazi katika
moja ya mashamba ya tajiri huyo.
Yule tajiri alijawa na hasira na kuona kama ilikuwa ni fedhea kubwa sana kwa familia yake
na akamuita binti yake na alipomuuliza binti yake alikubalia, mzee kwa hasira akawafukuza
wale wazee na kuahidi kutoa fedha nono kwa polisi yeyote atakaye mtia mbaroni kijana Yule.
Basi kijana Yule ikabidi amfuate binti na kumwambia hali halisi na kuwa sasa wazazi wake wako katika hali mbaya na yeye anasakwa hivyo
ni vyema wakiachana maana anaona Maisha yake yapo hatarini pamoja na familia yake.
Binti Yule akawa akiiba fedha na kuwapelekea wazee wale ili wajikimu na baadae akamshauri
Yule kijana kuwa wakimbie waende mbali wakajifiche na kuanza maisha yao wakiwa kama mme na mke.
Baada ya mabishano ya siku
kadhaa Yule kijana akakubali na binti akachukua fedha nyingi za kuweza kuanza maisha popote
pale watakapoamua kuishi.
Yule tajiri alipatwa na butwaa na hakuamini kama binti yake kakimbia, akaamua kuwachukua
wazazi wa yule kijana na kuwafunga bila mafanikio na kuamua kuwaachia huru.
Mkewe na yule tajiri aliendelee kuhuzunika na kunung’unika kwa muda wote mpaka mmewe
akaamua kutoa tangazo kwenye magazeti ya nchi ile na kusema amemsamehe mwanae hivyo
arudi tu na ameafikiana nao kuwa waoane. Hivyo warudi kwa ajili ya harusi.
Taarifa zikamfikia yule kijana akiwa na mpenzi wake yule mtoto wa tajiri, kwa pamoja wakaamua kurudi na wakapokelewa na yule
mzee ambaye akawaambia kuwa watafunga harusi mapema wiki itakayofuata na gharama
zote zitakuwa zake na yule kijana
atashirikiana na yule binti katika kusimamia mali za yule mzee.
Siku tatu baadae wakaamua waende kuandaa suti na shela kwa ajili ya harusi, waingia kwenye
duka la nguo za harusi binti alivyaa shela ikawa imemkaa safi sana na yule kijana naye suti ilimfaya aonekanye maridadi sana,akaamua
kabla ya kuvua ile nguo avuko barabara aende akanunue ice cream maana binti Yule alikuwa
anapenda sana kula ice cream.
Wakati kanunua ile ice cream na anavuka barabara gari likamgonga yule kijana na yule binti baada ya kuona vile alimkimbilia na
alipofika pale damu iliruka na kutengeneza doa kwenye ile shela, wakamchukua na kwenda nyumbani ambako baadae mazishi yalifanyika.
Baada ya mazishi binti Yule aliendelea kuhuzunika na hakutoka ndani kabisa.
Siku moja baada ya miezi kadhaa kupita usiku akiwa kalala alimtokea bibi mmoja na kumwambia katika ile shela kuna doa hivyo
anatakiwa alifuo litoke au balaa litamtokea.
Yule binti kweli asubuhi aliamka na kwenda kuitazama ile shela na kukuta ina doa, akafua sana mpaka doa akaona limeoptea. Lakini
alipolala tena Yule bibi akamtokea tena na kumwambia lile doa halijatakata hivyo afue tena
au balaa itaikumba familia yake.
Siku ya pili akaamka na kufua lakini kila alipofua yule bibi alimtokea na kumwambia vile viele,yule
binti akaona sasa kachoka ni vyema amshirikishe mama yake.
Mama yake akashangaa sana kwani
naye aliota ndoto kama ile ile na alikumwa akiogopa kuwashirikisha. Mama na mtoto wakanya siri na kulifua tena lile shela na hata
baada ya kulifua yule bibi aliwatokea tena na kuwaambia kuwa bado doa lipo.
Mmmh kazi ikawa ngumu ikabidi wamshirikishe baba, baba naye kumbe wamekuwa akitokewa na
yule bibi na akawa anona sio vyema kuwashirikisha wanafamilia.
Basi baba akawaamuru waichukue ile shelana kwenda kuifukia.
Baada ya kuifukia Yule bibi aliwatokea na kipindi hiki alikuwa mkali zaidi na kuwaambia wana siku mbili tuu za kulifukua lile shela na kulifua mpaka doa litakate la sivyo kuna jambo kubwa litawatokea .
Familia nzima walilifua kwa ushirikiano na wakakubaliana kuwa sasa limetakata na wakalianika na kulipiga pasi baada ya kukauka na uliweka sandukuni.
Usiku wakiwa wamelala.waliambia wameshindwa.
Basi familia siku ya pili walikutana na kusimuliana wote wakaonyesha
kuota ndoto sawa. Siku ya pili wote wakaenda kazini na kumwacha yule binti aiwa nyumbani peke yake.
Akiwa kaka peke yake na huku akisubiri mwisho wake huku akilia kwa uchungu na kumkumbuka
mchumba wake yule kijana,mara mlango ukagongwa na baada ya kumkaribisha binti yule alistaajabu kuona ni yule yule bibi mzee ambaye amekuwa akiwatokea usiku. Lakini mara hii alikuwa kashika kopo dogo mkononi na
kumpa yule binti kasha akaondoka zake.
Je unafikiri Yule bibi kizee alimpa kopo la nini?
Jibu ni kuwa alimpa kopo la sabuni ya unga aina
ya omo ambalo hutoa madoa kwa uhakika
Ha ha ha ha ha ha ha ha ni janga sana.
Kama ulisoma huku ukifikiria uchawi shindwaaaaaa
DAAH ETI KUMBE WACHAWI NAO NI WAOGA HIVI KUMBE..CHEKI WALIVYOFANYWA.
Kuna jamaa alilala juu ya mti kumbe chn ya mti ule wachawi wanakutana,walpofka pale wakaanza kujitambulisha mimi mchawi kutoka Sumbawanga. Mimi mchawi kutoka Tanga, mimi kutoka Naijeria, mimi kutoka Kongo. Jamaa anawasikiliza tu akatokea mmoja mimi mchawi kutoka Afughanistani,,jamaa akasema mmh huyu atajilipua hawachelewagi hawa akaruka puu! nae akajitambulisha mm ni mchawi toka MBINGUN wote mbiiooooh!.....
KUNA WATU WANAJUA KUJITUMA KWENYE MAPENZI SI MCHEZO MWONE HUYU JAMAA
kwenye suala la mapenzi kuna watu wana jua kujituma jamani sio mchezo embu muone huyu jamaaa anachokifanya kwa mpenzi wake je we una weza?
KALI YA MAPENZI; KICHEKESHO HIKI NOMAA...ILA NI KWA WAKUBWA TU PLZ...
MKE: Anza la Kufurahisha
MUME: Akamuonyesha Uume wake; "Akamwambia umeuona MUZIKI huu ni Inchi~11
MKE: Akafurahi ikamtoka WAOW! akalibusu kwenye kichwa MWAAaa.. Akasema~tena Haya~niambie la Kuhuzunisha
MUME; Dude lote Hili lakini Halisimami;
MKE; Akapoteza Fahamu!
MUME; Dude lote Hili lakini Halisimami;
MKE; Akapoteza Fahamu!
KALI "SIFANYI TENA KOSA, NIKIPATA MIMBA NAZAA TU" ASEMA LULU, CHEKI HAPA
STAA wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa kama siku yoyote atapata ujauzito kwa bahati mbaya, hatafanya kosa tena, atazaa tu.
Katika mahojiano maalum na gazeti hili juzikati, Lulu alisema kwa sasa yuko tayari kuolewa ili awe na familia yake ila si kwa sharti la mwanaume husika kumwambia amzalie kisha ndiyo amuoe.
Ijumaa: Kwani kwa sasa si una mpenzi?
Lulu: Ndiyo ila bado sijapanga swala la kufunga naye ndoa.
Katika mahojiano maalum na gazeti hili juzikati, Lulu alisema kwa sasa yuko tayari kuolewa ili awe na familia yake ila si kwa sharti la mwanaume husika kumwambia amzalie kisha ndiyo amuoe.
Ijumaa: Kwani kwa sasa si una mpenzi?
Lulu: Ndiyo ila bado sijapanga swala la kufunga naye ndoa.
Ijumaa: Kwa hiyo umesema ukipata mimba kwa bahati mbaya hutofanya misteki lazima uzae, unaweza
kuniambia ni misteki gani?
kuniambia ni misteki gani?
Lulu: Nadhani maswali yako uliyoniuliza nimekujibu kiufasaha kabisa hilo siwezi kulijibu. Ijumaa linahisi kosa ambalo Lulu hatalirudia tena ni la kutoa mimba, kitu ambacho hataki kukizungumzia.
HUYU NDIYE MSANII MZURI NA MREMBO ZAIDI KULIKO WOTE BONGO MOVIES...!! WEMA, KAJALA, LULU TUPA KULE..!!
HUYU MWANAMKE NOMA NAHISI ANATAKA KUNIBAMBIKIA LIVE KABISA MZIGO HUU...SIJUI NIFANYEJE

Mwezi Novemba mwaka jana nilikutana na binti mmoja. Alitokea kunipenda ghafla lakini mimi sikuwa na mawazo hata. Nilivyoona ananisumbua na sms zisizokoma nikaamua nile mzigo ila tulitumia kinga mwanzo mpaka mwisho. Basi tukaachana hatukukutana tena mpaka leo. Mwezi huu wa tatu mwanzoni akanipigia na kuniambia ana mimba yangu. Nikashangaa, nilischofanya ni kumhoji akagoma akasema kwa vyovyote itakuwa yangu. Nikamwambia mbona hukuniambia tangu Novemba mpaka leo ni miezi mitano, akasema alikuwa anatafuta nafasi aniambie akawa anakosa chance. Nikajua ananizuga au anataka kunibambika. Nikamwambia ok, kama ni hivyo ilee hiyo mimba utakapojifungua niko tayari tukapime DNA uwe tayari kupokea majibu, kama siyo yangu ujue ntakachokufanyia nitajua mwenyewe. Akasema sawa. Wiki hii amenipigia simu kuwa mimba imeharibika anataka nimpe hela kwa sababu anaumwa na anataka akasafishe. Pia anataka hela ya matumizi mara ananiambia mambo ya huko kwao. Agenda sasa imebadilika kutaka hela.
Sasa kinachonishangaza ananiambia mambo short cut, hakuna maelezo. Hivi si kashapoteza ushahidi, na mimi sitaki anavyonisumbua, nifanyeje?
Wasaniii waache kujishirikisha na kazi ya unga!!!!
AROO NYIE WASANII WA BONGO MNAPENDA SANA KUBEBA UNGA TURIA TUKUSACHI
KAMA WEWE NI MWANAUME AU MWANAMKE KWELI KWELI LAZIMA HII KITU INAKUHUSU SANAAA.... NI NOMAAA CHEKI HAPA MWENYEWE
Mwenzenu karibia yananikuta makubwa sijui itakuwaje natamani siku zigande….mimi ni msichana wa miaka 23 nilikutana na Mkaka mmoja mwaka umepita sasa tukawa wachumba akanitambulisha kwao na mie nikamtambulisha kwetu na kuanza uchumba rasmi lakini katika kipindi hicho chote wakati tunaanza nilimdanganya mimi bikira kaka wawatu akafurahi sana na kuahidi kutonigusa mpaka siku ya harusi yetu na kweli kaka wa watu hakunigusa mpaka leo zimebaki week mbili tufunge Harusi..na amewaambia wazazi wake waandae zawadi watakayo nipa baada ya kunitoa bikira siku ya Harusi tutakapofanya kwa mara ya kwanza , Eti atawapelekea shuka lenye damu alafu nipewe zawadi ya kujitunza, ki ukweli mimi sina bikira kabisaaa, ilitoka toka na miaka 15 ,
Naombeni ushauri hili litanitokea puani na kunipa aibu
.
(((((((((( UJUMBE WA LEO 131))))))))))))
Ukijitoa Kumpenda mtu na kumpa kila kitu,halafu huyo mtu akashindwa kujua jinsi gani anapendwa na wewe akakuumiza,hupaswi kujilaumu...Anapaswa yeye kujilaumu kwa kushindwa kusoma alama za nyakati kwamba anapendwa na mtu sahihi na anapewa mapenzi sahihi...Atakuja kujua baadae sana kwamba kuna mtu sahihi aliwahi kumpenda kwa usahihi na yeye hakuwa na macho ya kuliona penzi hilo kwa usahihi...
Usilie wala kujilaumu ukikumbana na watu wa namna hii,tafuta mtu mwingine Mmwagie Huba la kufa mtu,ipo siku utakutana na mtu atakayeona Penzi lako na atalipokea kwa miguu na mikono huku akitabasamu.
NEVER GET TIRED TO FALL IN LOVE,THE RIGHT PERSON IS WAITING FOR YOU SOMEWHERE
[umeipenda ? Bofya "LIKE" , waweza " SHARE" pia kufikisha ujumbe kwa washkaj wote.
CHEKI PAGE YETU MPYA KWA MAMBO YA MAPENZI, STORI, MIKASA, ISHU KIBAO ZA MAPENZI NA MAISHA ZIPO HAPA >>

Friday, 7 March 2014
Diamond platinum (Nasibu Abdul)anae mtoto....??je wafahamu soma zaid ujue undani wake!!!!
Diamond platinum anapenda sana maisha yake yawe mazuri yupo mbioni sanaa kutafuta pesa ili akiwa na mtoto wake asipate kuishi kwa tabu kama yeye alivyopata tabu ya kimaisha hadi sasa anamshukuru mungu alipofikia na anendelea kwa kasi zaidi kutafuta anasema kwasasa anakula ujana hayupo tayari!!
hii ni wapiii?je wajijua ulipo toka!!!
binaadam tumetoka mbali sanaa unatambua hii kipindi gani mtoto anapimwa kilo?? tunapaswa kumshukuru mungu sanaa dunia inabadilika kila kizazi kinakuja na zama zake!!
Je!wajuaaa????Diamond yupo katika harakati ya kutoa wimbo wake mpyaaa watu hujiuliza amaetoa number one, Je!! sasa atatoa number two???
MR.Diamond platinum(Nasibu Abdul) ni mtu wakujipanga sanaa kwenye kutoa ngoma zake(wimbo) inasemekana diamond yupo kwenye harakati za kutoa wimbo wake mpya lakini huu wimbo utaambatana na movie yake mpya ambayo ipo kwenye mchakato sasa kaa tayari kwa kuachiwa vitu vitamu kutoka kwake diamond platinum akiwa na wema sepetu mpo tayariiii
"Mambo makubwa hufanywa na watu bila ya kujitambua kwenye mapenzi, Je!wajua....??soma hapa zaid"
Mapenzi ni kitu alichopewa binaadamu na mungu wake ili apate matumaini ya kuishi vizuri duniani kila siku!!je wajua???mapenzi hayo hayo humfanya binaadam asiwe na matumaini ya kuishi duniani kila kukicha.
SIRI ZA KUDUMISHA PENZI LAKO LISITETEREKE NI:
1)Penda unapopenda:hii maana yake upende moyo uliporidhia kwa uumpendae.
2)Penda unapopendwa:hii maana yake ukipewa upendo wa dhati kwa mpenzi wako wajibika nawe uumpende zaidi yake.
3)Epuka mchepuko; hii maana yake achana uhusiano na mtu mwingne kuwa na mmoja tu.
Diamond akiwa gym inasemekana azidiwa na uzito kwasababu.....
Diamond platinuma (Nasibu Abdul) majira ya jioni akiwa anafanya mazoezi ya kutegeneza mwili wake uwe asali zaid kwa warembo inasemekana hupenda kupiga uzito wa kilo60 lakini hii siku ilikuwa ngumu kupiga hiyo kilo inamaana diamond hivi sasa anapoteza nguvu mwilini mwake kutokana kutozingatia ushauri aliyopewa na daktari wake.tunafuatilia habari zaidi tukujuze,Je! ushauri gani alipewa na daktari wake....?kuwa nasi tutakuhabarisha zaidi ahsante.
Subscribe to:
Posts (Atom)